Download

619 Downloads

Share
DescriptionPreviewVersions
Wanawake na data - SWA- web.pdf

Kwenye kibonzo hivi, Amani anavinjari katika ulimwengu wa mtandao pamoja na kujitosa katika bahari ya siasa. Mara nyingi wanawake na wasichana hujikuta walengwa wa mambo mabaya mtandaoni kama vile kunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ulimwengu huu unaozidi kugeuka wa kidijitali kwa hivyo, ulinzi na faragha. Siri ya data (Taarifa za Kibinafsi). Yako ni zana muhimu ya kukuwezesha kuvinjari mtandaoni bila hofu. Jifunze kuhusu jinsi amani, kwa usaidizi wa rafiki zake, anavyokabiliana na suala hili na mwanawe pia anavyoweza kulinda taarifa zake.

Translate »